Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa

Imechapishwa:

Makala ya Afrika ya mashariki huu ni inaangazia juu ya changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa na changamoto maeneo ya mipakani  kwa mataifa ya Kenya, Rwanda na Uganda ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya wakuu wa nchi hizo kwa raia wake kutumia vitambulisho hivyo kuingia na kutoka nchi moja hadi nyingine. Makubaliano hayo yameanza kutekelezwa Januari 2014.

Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia).
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia). Reuters
Vipindi vingine
  • 09:58
  • 09:59
  • 09:58
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.