Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Katiba mpya yapasua vichwa vya Watanzania

Imechapishwa:

Mchakato wa Katiba mpya nchini Tanzania unaendelea huku bunge maalum la katiba likiendelea na kazi yake mjini Dodoma. Mchakato huo ukiendelea bado kuna maswali mengi yanabaki kichwani mwa Watanzania kama katiba mpya itapatikana ama la. Fuatilia makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile upate kujua mengi ikiwemo msimamo wa serikali kuhusu mchakato huu.................

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.