Pata taarifa kuu
Zanzibar-Tanzania

Bei ya vyakula kupanda katika mkesha wa tamasha la Sauti Za Busara

Wakazi wa mjii mkongwe wa Zanzibar wamelalamikia kupanda kwa bei ya vyakula visiwani humo wakati hali ya kipato ikizidi kushuka chini katika msimu huu wa Tamasha la Sauti Za Busara.

Selemani Mfanya biashara katika Soko La Darajani zanzibar (a.k.a.) kuumaliketi)akizugumzia ju ya kupanda kwa Bei ya vyakula
Selemani Mfanya biashara katika Soko La Darajani zanzibar (a.k.a.) kuumaliketi)akizugumzia ju ya kupanda kwa Bei ya vyakula RFI/EBBY
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.