Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya kimataifa ya wafanyakazi yaadhimishwa duniani kote

Imechapishwa:

Ulimwengu leo unaadhimisha siku ya wafanyakazi huku wafanyakazi wakikabiliwa na changamoto mbalimbali. Je serikali za Afrika zinatia juhudi katika kutafuta majawabu ya changamoto zinazowakabili wafanyakazi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.

Rais wa Tanzania, John Magufuli akihutubia katika sherehe za siku ya wafanyakazi zilizofanyika Mkoani Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania tarehe 1 Mei 2019
Rais wa Tanzania, John Magufuli akihutubia katika sherehe za siku ya wafanyakazi zilizofanyika Mkoani Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania tarehe 1 Mei 2019 The Citizen
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:02
  • 09:47
  • 09:59
  • 09:35
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.