Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Unaridhishwa na utendaji kazi wa mahakama ya ICC?

Imechapishwa:

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC imetimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kufuatiwa mkataba wa Roma uliotiwa saini mwaka 1998.Je raia waridhishwa na namna mahakama hiyo inavyotimiza wajibu wake? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji kutoka eneo la Afrika Mashariki na kati ili kupata maoni yao

Majaji wa mahakama ya ICC wakiwa kwenye majukumu yao
Majaji wa mahakama ya ICC wakiwa kwenye majukumu yao REUTERS/Toussaint Kluiters
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.