Unaridhishwa na utendaji kazi wa mahakama ya ICC?
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC imetimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kufuatiwa mkataba wa Roma uliotiwa saini mwaka 1998.Je raia waridhishwa na namna mahakama hiyo inavyotimiza wajibu wake? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji kutoka eneo la Afrika Mashariki na kati ili kupata maoni yao
Kuhusu mada hiyo hiyo