Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Uzazi wa mpango unaweza kusaidia kupambana na ongezeko la watu duniania ?

Imechapishwa:

Leo ni siku ya Kimataifa ya idadi ya watu. Umoja wa Mataifa unabashiri kuwa kufikia mwaka 2050, dunia itakuwa na watu Bilioni 10. Bara la Afrika lina watu Bilioni 1.2 kwa sasa na ni la pili duniani kwa idadi kubwa ya watu. Umoja wa Mataifa unasema kuna umuhimu wa kudhibiti ongezeko la watu duniani kama njia mojawapo ya kupambana na umasikini na kuleta maendeleo na hivyo, mpango wa uzazi ni haki ya binadamu.

Picha ya idadi ya watu nchini China
Picha ya idadi ya watu nchini China Reuters
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.