Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani na Korea Kaskazini

Imechapishwa:

Leo katika Mjadala wa wiki tunajadili, baadhi ya makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un siku ya Jumanne, nchini Singapore. 

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un (Kusho) alipokutana na rais wa Marekani  Donald Trump, nchini Singapore tarehe 12 mwezi Juni 2018
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un (Kusho) alipokutana na rais wa Marekani Donald Trump, nchini Singapore tarehe 12 mwezi Juni 2018 REUTERS/Jonathan Ernst
Matangazo ya kibiashara

Mambo mawili makuu yaliyokubaliwa ni Korea Kaskazini kuachana kabisa na mradi wake wa nyuklia lakini pia Marekani ilikubali kusitisha mazoezi ya kijeshi kati ya jeshi lake na lile na Korea Kusini.

Nini hatima ya maelewano haya ? Tunajadili.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.