Mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani na Korea Kaskazini
Leo katika Mjadala wa wiki tunajadili, baadhi ya makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un siku ya Jumanne, nchini Singapore.
Mambo mawili makuu yaliyokubaliwa ni Korea Kaskazini kuachana kabisa na mradi wake wa nyuklia lakini pia Marekani ilikubali kusitisha mazoezi ya kijeshi kati ya jeshi lake na lile na Korea Kusini.
Nini hatima ya maelewano haya ? Tunajadili.
Kuhusu mada hiyo hiyo