Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ulimwengu waadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku

Imechapishwa:

Kila mwaka ifikapo Mei 31 dunia inaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani huku ripoti zikionyesha watu zaidi ya milioni sita hupoteza maisha kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu kutoka eneo la Afrika mashariki na Kati, kupata maoni yao ikiwa jamii ina uelewa kuhusu athari zinazotokana na matumizi ya tumbaku.

Watu wakivuta sigara nchini India. Sigara ni zao la tumbaku
Watu wakivuta sigara nchini India. Sigara ni zao la tumbaku REUTERS/Danish Siddiqui
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:02
  • 09:47
  • 09:59
  • 09:35
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.