Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 26/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mkutano wa kihistoria kati ya viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini

Mkutano wa kihistoria kati ya viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini
 
Kiongozi wa Korea Kaskazini Moon Jae-in akisaliamiana na Kim Jong un baada ya kukutana hivi karibuni 路透社

Mwezi Aprili, kulikuwa na mkutano wa kihistoria kati ya viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskzini baada ya muda mrefu wa vita baridi kati nchi hizi jirani.

Mkutano kati ya Jim Jong Un kiongozi wa Korea Kaskazini na Moon Jae-in rais wa Korea Kusini ulifanyika mpakani mwa nchi hizo mbili na kufikia makubaliano ya kuanza upya ushirikiano kati ya Pyongyanga na Seoul.

Kukutana na viongozi hawa kulikuwa na umuhimu gani na kunaamaanisha nini ?


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KOREA KUSINI-KASKAZINI-MAREKANI

  Korea kaskazini yaahidi kusimamisha majaribio ya silaha zake za nyuklia

  Soma zaidi

 • MAREKANI-KOREA KASKAZINI-USHIRIKIANO

  Trump: Tunajiandaa kwa mazungumzo na Korea Kaskazini

  Soma zaidi

 • CHINA-KOREA KASKAZINI

  China na Korea Kaskazini zaonesha umoja baada ya ziara ya Kim

  Soma zaidi

 • KOREA KASKAZINI-MAREKANI-KOREA KUSINI

  Bunge la Korea Kaskazini kuketi mwezi ujao kujadili yanayojiri

  Soma zaidi

 • KOREA KUSINI-KASKAZINI-MAREKANI

  Korea Kaskazini yavunja ukimya kuhusu nia yake kushiriki mazungumzo

  Soma zaidi

 • KOREA KUSINI-KOREA KASKAZINI

  Wanamuziki wa Korea Kusini kufanya onesho la kwanza Korea Kaskazini

  Soma zaidi

 • MAREKANI-SWEDEN-KOREA KASKAZINI

  Marekani na Korea Kaskazini katika mazungumzo ya kuwaachia wafungwa 3

  Soma zaidi

 • KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

  Korea Kusini: Hatujapata taarifa kutoka Korea Kaskazini kuhusu mazungumzo

  Soma zaidi

 • KOREA KASKAZINI-MAREKANI

  Trump: Nafikiri Korea Kaskazini sasa inataka amani

  Soma zaidi

 • KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

  Korea Kusini yatilia shaka mazungumzo na Korea Kaskazini, Trump ana matumaini

  Soma zaidi

 • Marais wa Afrika kutia saini mkataba wa soko la pamoja

  Marais wa Afrika kutia saini mkataba wa soko la pamoja

  Wakuu wa nchi za Afrika, wamekutana jijini Kigali nchini Rwanda kutia saini mkataba wa kuwezesha biashara huru na soko la pamoja.Je, hatua hii inamaanisha nini ? Tunajadili.

 • Kwanini rais wa Uganda Yoweri Museveni alimfuta kazi Inspekta wa Polisi ?

  Kwanini rais wa Uganda Yoweri Museveni alimfuta kazi Inspekta wa Polisi ?

  Wiki hii, rais wa Uganda Yoweri Museveni, alimfuta kazi Waziri wa usalama Henry Tumukunde na Inspekta Mkuu wa Polisi Jenerali Kale Kayihura. Uamuzi huu wa rais Museveni …

 • Nini hatima ya rais Jacob Zuma ?

  Nini hatima ya rais Jacob Zuma ?

  Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, anaendelea kukabiliwa na shinikizo za kujiuzulu kwa madai ya ufisadi. Zuma ambaye amekuwa rais tangu mwaka 2009, amekataa kujiuzulu.Hotuba …

 • Hatima ya maandamano dhidi ya rais Kabila nchini DRC

  Hatima ya maandamano dhidi ya rais Kabila nchini DRC

  Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema litaendelea kupanaga maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, kuelekea Uchaguzi Mkuu …

 • Palestina yasema haitaitambua Israel

  Palestina yasema haitaitambua Israel

  Mamlaka ya Palestina imesema, haitaitambua Israel baada ya Marekani kutangaza kuwa inaitambua Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel. Wakati uo huo, Marekani imesema inasitisha …

 • Upinzani walalamikia kusumbuliwa Burundi

  Upinzani walalamikia kusumbuliwa Burundi

  Serikali ya Burundi, inaendelea na mchakato wa kuibadilisha Katiba ili kuruhusu mgombea urais kuongoza kwa muda wa miaka saba badala ya mitano. Upinzani unalalamika kuwa, …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana