Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanajeshi wa kulinda amani wauawa nchini DRC

Imechapishwa:

Kuuawa kwa wanajeshi wa kulinda amani raia wa Tanzania 14 nchini DRC, kutopatikana kwa mkataba katika mazungumzo ya kisiasa ya Burundi na hatua ya Marekani kutambua mji wa Jerusalem kuwa maka makuu ya Israel ni miongoni mwa masuala makubwa yaliyojiri wiki hii.

Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini DRC
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini DRC REUTERS/Kenny Katombe/File Photo
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.