Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya kupambana na rushwa

Imechapishwa:

Siku ya kimataifa ya kupambana na rushwa huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 mwezi Disemba. Shirika la kimataifa ya Transparency International mara kadhaa hutoa ripoti kuhusu mwenendo wa rushwa katika mataifa mbalimbali duniani na namna inavyoathiri maendeleo na kukiuka utawala wa sheria.Na: Fredrick Nwaka

Ramani ya dunia ikiendeleza hali ya ufisadi kwa mwaka 2016
Ramani ya dunia ikiendeleza hali ya ufisadi kwa mwaka 2016 transparency.org
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.