Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Upinzani nchini Kenya waendelea na maandamano wiki hii

Imechapishwa:

Wiki hii, wafuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, waliandamana katika miji mbalimbali kushinikiza mabadiliko ndani ya Tume ya Uchaguzi kuelekea uchaguzi mpya wa urais tarehe 26 mwezi Oktoba. Wanajeshi wa DRC walikabiliana na waasi Mashariki mwa DRC na hali ya kisiasa inaendelea kuwa mbaya nchini Uhispania baada ya kura ya maoni ya jimbo la Catalonia wanaotaka kujitawala.Haya ni miongoni mwa yale yaliyojiri wiki hii.

Polisi walivyotumia mabomu ya kutoa machozi kuwasambaratisha waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wiki hii Oktoba 6 2017
Polisi walivyotumia mabomu ya kutoa machozi kuwasambaratisha waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wiki hii Oktoba 6 2017 REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.