Pata taarifa kuu
GUINEA MPYA YA PAPUA

Watu wengi wahofiwa kufa katika ajali ya ndege Guinea mpya ya Papua

Watu zaidi ya 20 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ndege ya abiria iliyokuwa imebeba watu thelathini na wawili kuanguka karibu na pwani ya Guinea mpya ya Papua huku watu wanne pekee wakiripotiwa kuokoka.

news.com
Matangazo ya kibiashara

Ndege hiyo aina ya PNG-8 yenye masafa yake kati ya Guinea mpya ya Papua na Australia ilikuwa ikitoka katika mji wa Lae kwenda pwani ya mji wa Madang kabla ya kuanguka, tume ya uchunguzi wa ajali hiyo imethibitisha
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.