Pata taarifa kuu
AFRIKA KUSINI-TANZIA-SOKA

Senzo Meyiwa auawa Afrika Kusini

2014 ulikua pia mwaka wa huzuni kwa wapenzi wa soka nchini Afrika Kusini baada ya kuuawa kwa nahodha wa Bafana Bafana kipa Senzo Meyiwa.

nahodha wa Bafana Bafana kipa Senzo Meyiwa, mwezi Novemba 2013.
nahodha wa Bafana Bafana kipa Senzo Meyiwa, mwezi Novemba 2013. AFP PHOTO / KHALED DESOUKI
Matangazo ya kibiashara

Mwezi Oktoba, Meyiwa alipigwa risasi na watu waliojihami kwa silaha jijini Johannersburg akiwa na mpenzi wake.

Meyiwa aliisaidia Afrika Kusini kufuzu katika michuano ya Mataifa bingwa mwaka ujao nchini Equitorial Guinea.

Mchezaji wa Cameroon, Albert Ebossé.
Mchezaji wa Cameroon, Albert Ebossé. DR/Facebook

Mbali na Meyiwa, kifo cha mchezaji mwingine kilichogusa wapenzi wa soka ni mchezaji wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria, Mcameroon Albert Ebossé aliyepigiwa na kitu kizito kichwani na mashabiki wa wa JS Kabylie, baada ya klabu hiyo kupoteza mabao 2 kwa 1 dhidi ya USM Alger.

 

Jeneza ya Albert Ebossé, mchezaji wa zamani wa Cameroon.
Jeneza ya Albert Ebossé, mchezaji wa zamani wa Cameroon. AFP PHOTO / PACOME PABANDJI

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.