Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka

Austria: Yukiya Amano, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) afariki dunia

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Yukiya Amano, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, sekretarieti ya shirika hilo linalosimamiwa na Umoja wa Mataifa limetangaza. Katika taarifa kwa nchi wanachama, shirika hilo, lenye makaazi yake Vienna, limesema lina "huzuni kubwa", lakini halikutoa maelezo zaidi kuhusu sababu za kifo chake.

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana