Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 05/12 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 05/12 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 05/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Marekani: Spika wa Baraza la Congress Nancy Pelosi atoa wito wa kuandaa mashtaka dhidi ya Trump kwa ajili ya ung'atuzi
 • Israel: Wakili wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atashtakiwa kwa utakatishaji fedha (mahakama)
 • Ufaransa: Mgomo katika sekta ya uchukuzi jijini Paris wasogezwa mbele 'hadi Jumatatu'
Asia

Hong Kong: Viongozi wawili wa maandamano Joshua Wong na Agnes Chow waachiliwa huru

media Wanaharakati wawili wanaotetea demokrasia Hong Kong Agnes Chow na Joshua Wong wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari baada ya kukamatwa Ijumaa, Agosti 30, 2019. AFP Photos/Lillian SUWANRUMPHA

Saa chache kabla ya maandamano mapya Jumamosi, polisi wa Hong Kong wamekamamata viongozi watatu wa maandamano yanayounga mkono Demokrasia, ikiwa ni pamoja na Joshua Wong na Agnes Chow. Wote wameachiliwa kwa dhamana.

Ujumbe wa mwisho wa twitter wa Joshua Wong kabla ya kukamatwa kwake ulikuwa kama wito wa kupinga utawala wa Beijing. Agnès Chow yeye aliandika hivi: "Pigania uhuru, tetea Hong Kong." Wameachiliwa kwadhamana na Joshua Wong tayari ameahidi: ataendeleza vita yake.

Tutaendelea na vita yetu, hata kama watatuzuia, hata kama watatufungulia mashitaka. Tunajua vizuri kuwa polisi ya Hong Jong inaungwa mkono na kutiwa moyo na serikali ya Rais wa China Xi Jingping kutekeleza operesheni hiyo ya kutukamata.

Wananchi wa Hong Kong wanawafahamu viongozi hawa wawili wa maandamano tangu mwaka 2012: wakiwa na miaka 15, wanafunzi hao wawili wa vyuo vikuu waliweza kuhamasisha makumi ya maelfu ya wazazi na wanafunzi dhidi ya kozi mpya ya elimu ya kitaifa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana