Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/10 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/10 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Brunei yapitisha sheria kali dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

media Mji mkuu wa Bruneï, Bandar Seri Begawan. ROSLAN RAHMAN / AFP

Taifa la Brunei limeazisha sheria, itakayoruhusu wale watakaobainika kushiriki mapenzi ya jinsia moja kuuawa kwa kupigwa mawe. Sheria ambayo imekosolewa na wanaharakati wa haki za binadamu.

Sheria hiyo inaanza kutekelezwa leo Jumatano, lakini pia wale watakaobainika kuhusika na makosa mengine kama wizi, watakatwa mikono.

Uongozi wa taifa hilo dogo la Asia Mashariki limesema limeamua kutekeleza sheria ya Kiislamu (Sharia) hatua ambayo imeshtumiwa na Mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za kibinadamu.

Wakati huo huo Ufaransa imeomba Brunei kufuta adhabu ya kifo kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja ikibaini kwamba sheria hiyo inakiuka sheria za kimataifa za haki za binadamu.

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana