Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Maelfu ya watu wahamishwa kufuatia milipuko katika ghala la silaha Ukraine

media Visa kadhaa vya moto vilitokea katika ghala za silaha na vifaa vingine vya kivita katika miaka ya hivi karibuni nchini Ukraine. REUTERS/Valentyn Ogirenko

Maelfu ya watu wamehamishwa mapema Jumanne asubuhi kufuatia kisa cha moto na milipuko katika ghala linalomilikiwa na Wizara ya Ulinzi, kilomita 180 mashariki mwa mji mkuu wa Ukraine, Kiev, kwa mujibu chanzo cha kijeshi.

Serikali ya Ukraine haijasema kuhusu hasara iliyotokea na haijulikani kwa wakati huu kama tukio hili ni ajali la kawaida au ni shambulizi.

Hakuna ndege yeyote au helikopta inayorihusiwa kupaa juu ya anga ya eneo hilo la tukio na safari za reli zimesitishwa katika eneo hilo.

Visa kadhaa vya moto vilitokea katika ghala za silaha na vifaa vingine vya kivita katika miaka ya hivi karibuni nchini Ukraine.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana