sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Mahakama ya kimataifa kutoa umuzi wake kuhusu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

media Aprili 2 mwaka 2015, katika mji wa Lausanne, Uswisi, makubaliano ya kisiasa yakifikiwa kati ya Tehran na mataifa yenye nguvu duniani kuhusu suala la mpango wa nyuklia wa Iran. REUTERS/Ruben Sprich

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) inatarajia kutoa uamuzi wake Jumatano wiki hii kuhusu ombi la Tehran la kusitishwa kwa vikwazo vya Marekani vilivyowekwa na Donald Trump. Iran imelaani vikwazo hivyo ikisema kuwa vina madhara makubwa kwenye uchumi wake.

Mahakama hiyo ya kimataifa, yenye makao yake makuu mjini Hague na ambayo ni mahakama ya juu ya Umoja wa Mataifa, itatoa uamuzi wake katika kikao cha hadhara kitakachoanza saa 10:00 (sawa na saa 8:00 saa za kimataifa).

Uamuzi wa ICJ unakuja katika hali ambapo mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka, na hivi karibuni marais wa Irani na Marekani walitupiana vijembe katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wiki iliyopita.

Mnamo mwezi Mei Rais wa Marekani aliiondoka nchi yake kwenye mkataba wa nyuklia uliyotiliwa saini mwaka 2015. Marekani, Iran na mataifa yenye nguvu duniani zilitia saini kwenye mkataba huo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana