sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/05 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/05 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atangaza kujiuzulu
Asia

Umoja wa Ulaya kuweka taasisi ya kisheria kwa kudumisha biashara na Iran

media Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Zarif (wa pili kutoka kushoto) akizungukwa (kutoka kushoto kwenda kulia) na Federica Mogherini, Mkuu wa sera za mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya, na wenzanke kutoka Ufaransa, Ujerumani na Uingereza, Brussels Mei 15. REUTERS/Yves Herman

Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa nchi wanachama utaweka mfumo mpya wa malipo ili kuruhusu kampuni za mafuta na wafanyibiahasra wengine kuendelea kufanya biashara nchini Iran.

Tangazo hili limetolewa na Federica Mogherini, Mkuu wa sera anayeshughulikia mambo ya nje ya Umoja huo, lengo likiwa ni kuisaidia Iran kupeuka vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Marekani baada ya kujiondoa kwenye mradi wa nyuklia.

Mpango wa nyuklia ulisainiwa mwaka 2015 kati ya Iran na        Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na China.

Nchi hizo zilikubaliana kutoa vikwazo vya kiuchumi kwa mpango wa nyuklia wa Iran.

Hata hivyo toka Novemba 2016, Trump amekuwa akisema kuwa ataiondoa Marekani kutoka katika mpango huo usiokuwa na maana.

Viongozi wa mataifa ya magharibi wanasema kuwa wataendelea kuuunga mkono makubaliano ya kinyuklia ya Iran.

Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinasema kuwa watafanya kazi pamoja na matiafa yote yaliosalia katika mkataba huo huku ikiitaka Marekani kutovuruga utekelezwaji wake.

Mataifa mengine yalioweka mkataba huo wa mwaka 2015- Urusi na China pia yamesema yataendelea kuunga mkono makubaliano hayo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana