Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Marekani na Korea Kaskazini zaendelea na maandalizi ya mkutano

media Mjumbe wa Korea Kaskazini Kim Yong-chol amewasili New York kwa maandalizi ya mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, Mei 30, 2018. REUTERS/Lucas Jackson TPX IMAGES OF THE DAY

Waziri wa Mashauriano ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo anatazamia kukutana na afisa wa juu kutoka Korea kaskazini mjini New York katika mazungumzo yaliyolenga kuandaa mkutano muhimu kati ya marais wa mataifa hayo mawili.

Kim Yong Chol, anayetajwa kuwa mshirika muhimu wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, alikuwa afisa wa juu wa taifa hilo kuwahi kuzuru taifa la Marekani katika kipindi cha miaka 18.

Vikao vingine viwili kati ya maafisa wa mataifa hayo mawili vimepangwa kufanyika alhamisi wiki hii.

Hiki ni kikao cha tatu kati ya maafisa hawa wawili ambao wanashughulikia hitimisho la maandalizi ya mkutano adhimu wa June 12 uliokusudia kumaliza mzozo wa nyuklia ambao ulitishia kusababisha vita katika rasi ya Korea.

Afisa mmoja wa Marekani amesma wawili hao wanakutana kuhakikisha mahitaji gani yanatakiwa kufanyiwa kazi ndani ya majuma mawili yaliyobaki kabla ya mkutano huo wa Trum na Kim.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana