Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

EU yaunga mkono mkataba wa nyuklia kati yao na Iran

media Mogherini anasema mkataba wa nyuklia kati ya nchi za Ulaya na Iran "unafanya kazi,kwa salama wa dunia na unazuia utengenezaji wa silaha za nyuklia katika kanda Aia ya magharibi". REUTERS/Francois Lenoir

Mkuu wa sera za mambo ya kigeni wa umoja wa Ulaya Federica Mogherini eo Alhamisi amesema kuwa makubaliano ya mkataba wa nyuklia uliotiwa saini kati ya nchi zao na Iran unafanya kazi, wakati huu Marekani ikitishia kuiwekea vikwazo zaidi nchi hiyo.

Mogherini amesema haya baada ya kukutana na ujumbe wa Iran ulioongozwa na waziri wa mambo ya kigeni Mohammad Javad Zarif, ambapo amesema vikwazo vya Marekani havitakwamisha juhudi zao za utekelezaji makubaliano waliyotiliana saini na Iran kuhusu mpango wake wa Nyuklia.

Hivi karibuni rais Donald Trump amesema nchi yake itaiwekea vikwazo zaidi Iran na kutangaza nchi yake kujitoa kwenye makubaliano yaliyofikiwa na mtangulizi wake Barack Obama.

Trump aliskosoa vikali mkataba huo akisema kuwa ni upuuzi mtupu.

Hata hivyo Mkuu wa sera za mambo ya kigeni wa umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema mkataba huo uliokosolewa na rais wa Marekani Donald Trump unatumika sasa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana