Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Korea Kaskazini yaapa kuendelea na majaribio ya makombora ya masafa marefu

Imechapishwa:

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amesema nchi yake itaendelea kujaribu makombora yake ya masafa marefu licha ya kuonywa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuacha majaribio hayo.Hatua hii inakuja baada ya Pyongyang, kujaribu makombora yake ya masafa marefu hivi karibuni na kuzua wasiwasi katika nchi jirani lakini pia kwa nchi ya Marekani.

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un STR / KCNA via KNS / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.