Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Rais Trump kurejesha wanajeshi wa Marekani nchini Afganistan

Imechapishwa:

Wiki hii, rais wa Marekani Donald Trump alitangaza mkakati wa serikali yake katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi hasa Taliban nchini Afganistan. Baada ya uongozi uliopita wa rais wa zamani Barrack  Obama kuamua kuwarudisha maelfu ya wanajeshi nyumbani na kutangaza vita kumalizika nchini humo. Hata hivyo, Trump anaona kuwa uamuzi huo haukuwa sahihi. Tunachambua hili.

Wanajeshi wa Marekani nchini Afganistan
Wanajeshi wa Marekani nchini Afganistan WAKIL KOHSAR / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.