Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Mauaji ya Kim: Malaysia yamuita nyumbani balozi wake Korea Kaskazini

media Kim Jong-nam, kwenye uwanja wa ndege wa Tokyo, tarehe 4 Mei 2001. Kyodo/via REUTERS

Serikali ya Malaysia imechukua uamuzi wa kumuita balozi wake nchini Korea Kaskazini kufuatia mvutano unaoendelea kati ya Malaysia na Korea Kaskazini kutokana na kifo cha Kim Jong-nam, ndugu wa kambo wa kiongozi wa sasa wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

Kifo cha Kim Jong-un kilichotokea wiki iliyopita kwenye uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur, nchini Malaysia. Kwa mujibu wa maafisa wa usalama wa Malaysia wanashuku kwamba huenda Kim Jong-un aliuawa kwa sumu.

Watu kadhaa wamekamatwa kwa jali ya uchunguzi.

Wiki iliyopita Korea Kaskazini ilitaka mwili wa Kim Jong-un urejeshwe nyumbani, lakini serikali ya Malaysia ilifutilia mbali hoja hiyo na kutaka uchunguzi ufanyike ili wahusika wajulikane na shria ifuate mkondo wake.

Hata hivyo serikali ya Malaysia imesisitiza kuwa itaendelea na uchunguzi na kwamba ina mamlaka ya kufanya uchunguzi huo kwa sababu Kim Jon-un alifia katika ardhi yake.

Jumapili Februari 19, polisi ya Malaysia ilirusha picha ya raia wanne kutoka Korea Kaskazini wanaoshukiwa kuhusika katika mauaji ya Kim Jong-nam, ndugu wa kambo wa Kim Jong-un. Royal Malaysia Police/Handout via Reuters

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana