sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Watu waodolewa chini ya vifusi wakiwa hai

media Shughuli za uokozi zinaendelea Kathmandu, Nepal. Kijana huyu mwenye umri wa miaka 15 ameokolewa akiwa hai kutoka chini ya vifusi jumamoja baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal, Aprili 30 mwaka 2015. REUTERS/Adnan Abidi

Shirika la Msalaba mwekundu linasema limefanikiwa kumwokoa mvulana na mwanamke chini ya maporokomoko ya ardhi wakiwa hai karibu juma moja baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal.

Ripoti zinasema kuwa kijana huyo aliyepatikana hai ana miaka 15 pamoja na mwanamke huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 20, wamesema ni muujiza kupatikana akiwa hai baada ya siku tano .

Wakati huo huo, Shirika la Msalaba mwekundi linasema vijiji na miji imeathiriwa zaidi na hakuna chochote kinachosalia.

Zaidi ya watu elfu sita wamepoteza maisha na maelfu bado hawajapatikana.

Serikali inahofia kuwa huenda idadi ya watu waliopoteza maisha ikafikia Elfu 10.

Licha ya msaada kutoka kwa wataalam wa uokozi kutoka kwa serikali ya Nepal na Jumuiya ya Kimataifa, juhud za kuwatafuta watu ambao huenda wako hai au miili hasa jijini Kathmandu zinatatizwa kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana