Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Asia

Kumbukumbu ya miaka 100 ya mauaji ya Waarmenia

media Waarmenia kutoka Uturuki wamejiunga na wenzi wao duniani kote kusheherekea kumbukumbu ya miaka 100 ya mauaji ya Waarmenia katika vita vya kwanza vya dunia miaka 100 iliyopita. Reuters / O. Orsal

Waarmenia duniani kote wanaadhimisha Ijumaa Aprili 24, miaka mia moja ya mauaji ya watu milioni 1.5 ya mababu zao, yaliyotekelezwa na Waturuki wa mji wa Ottoman wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia.

Yerevan imeeleza janga hilo kama "mauaji ya kimbari", kauli ambayo imefutiliwa mbali na Uturuki.

Viongozi mbalimbali wakiwemo marais wanahudhuria kumbukumbu hizo, rais wa Ufaransa amewakilishwa na waziri wa ulinzi Yves Le Drian.

Sherehe zinafanyka katika mji mkuu wa Armenia, Yerevan.

Hata hivyo Uturuki inapinga kumbukumbu hizo ikidai kuwa mauaji hayo yalishuhudiwa pia katika makundi mengine zaidi wakati huo wa vita vya kwanza vya dunia na kwamba si Armenia pekee.

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana