Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
Amerika

Chama cha Justin Trudeau chashinda uchaguzi Mkuu Canada

media Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau kulingana na ubashiri wa Uchaguzi Mkuu uliotolewa na vyombo vya habari Canada anaelekea kupata tena ushindi lakini hatakuwa na idadi kubwa mno ya viti bungeni. REUTERS/Stephane Mahe

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ameshinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana na kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili, kwa mujibu wa matokeo ya awali.

Televisheni ta Taifa CBC inabashiri kuwa, chama cha Liberal cha Waziri Mkuu Trudeau kinaelekea kupata ushindi, na hivyo kitaunda serikali, lakini hakitakuwa na idadi kubwa mno ya viti bungeni.

Tayari wafuasi wa chama hicho wameanza kusherehekea ushindi huo jijini Montreal, wakati huu wakisubiri hotunba kutoka kwa kiongozi wao.

Hata hivyo, wafuasi wa chama cha Conservative kinachoongozwa na Andrew Scheer ambaye ameleta ushindani mkubwa, wameonekana wenye huzuni, baada ya kubainika kuwa watapoteza katika Uchaguzi huu.

Mamilioni ya raia wa Canada walishiriki katika Uchaguzi huu, ulioshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakiwania nyadhifa ya kuwa Waziri Mkuu.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana