Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 12/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 11/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 11/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Macron aahirisha mkutano wa kilele wa Pau kuhusu Sahel hadi mwanzoni mwa mwaka 2020 kwa sababu ya shambulio nchini Niger (Elysee)
Amerika

Trump amshambulia Mueller, kabla ya kuhojiwa na wabunge

media Rais wa Marekani, Donald Trump apinga uchunguzi waa mwendesha mashtaka maalum Robert Mueller kuhusu tuhuma za Urusi kuingilia katika kampeni yake. REUTERS/Kevin Lamarque

Rais wa Marekani amemshutumu Robert Mueller aliyeongoza uchunguzi wa iwapo Urusi iliingia Uchaguzi wa urais mwaka 2016, wakati huu anapotarajiwa kuhojiwa na wabunge wiki hii.

Wabunge wanatarajiwa kumhoji Mueller ambaye katika ripoti aliyoitoa baada ya uchunguzi wa miaka miwili, alibainisha kuwa Urusi iliingilia uchaguzi huo lakini haikuweza kuthibitisha iwapo Trump mwenyewe alihusika.

Rais Trump ameendelea kusisitiza kuwa ripoti hiyo ni ya uongo na kuongeza kuwa hatafuatilia mahoajino kati ya Mueller na wabunge hao.

Mwezi Machi mwaka huu ripoti ya Muller ilimsafisha Donald Trump.

Kampeni iliyoendeswa na rais wa Marekani Donald Trump 'haikushirikiana na Urusi wakati wa uchaguzi wa 2016, Kwa mujibu wa muhtasari wa ripoti hiyo iliyowasilishwa kwenye bunge la Congress mwezi Machi mwaka huu.

Wakati huo huo wakili wa Trump, Rudy Giuliani, alisema ripoti "ilikuwa bora kuliko nilivyotarajia ".

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana