sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Amerika

Naibu Mwanasheria mkuu wa Marekani Rod Rosenstein ajiuzulu

media Naibu Mwanasheria Mkuu wa Marekani Rod Rosenstein katika mkutano na waandishi wa habari akitangaza kuwafungulia mashtaka maafisa12 wa Urusi Kirusi 12 huko Washington tarehe 13 Julai 2018. REUTERS/Leah Millis

Naibu Mwanasheria mkuu wa Marekani, Rod Rosenstein ambaye alisimamia uchunguzi maalumu uliokuwa unafanywa na Robert Mueller ikiwa Urusi iliingilia uchaguzi wa mwaka 2016, ametangaza kujiuzulu nafasi yake.

Rosenstein ambaye tangu rais Donald Trump aingie madarakani hawajawa na uhusiano mzuri, ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo Mei 11, uamuzi ambao ulikuwa umetarajiwa kwa muda mrefu.

Kwenye barua yake, Rosenstein amempongeza rais Trump na hata kusifu namna amekuwa mtu wa utani wakati walipokuwa wakikutana.

Rosenstein ambaye alichaguliwa wakati wa utawala wa rais George Bush, alikuwa akitarajiwa kujiuzulu tangu mwezi Machi baada ya William Barr kuteuliwa kama mwanasheria mkuu.

Katika utawala wake ni mara moja tu rais Trump aliwahi kuchapisha picha ya Rosenstein akiwa kwenye mfano wa jela kwa makosa ya uhaini.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana