Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Amerika

Venezuela yafunga mpaka wake na Brazil

media Rais wa Venezuela Nicolas Maduro akizungumza wakati wa mkutano na wajumbe wa serikali Caracas, Venezuela, Februari 13, 2019. Miraflores Palace/Handout via REUTERS

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameamuru kufungwa kwa mpaka wa kusini mwa nchi yake, ambao unaitenganisha na Brazil. Hatua hii imeanza kutumika usiku wa kuamkia leo (saa za Venezuela).

Uamuzi huu umechukuliwa kutokana na kile rais wa Venezuela amekiita "uchokozi" kutoka serikali ya mrengo wakulia ya Brazil.

Venezuela pia inafuatilia kwa karibu hali kwenye mpaka wake na Colombia, rais wa Venezuela ameongeza.

"Sitaki kuchukuwa aina hiyo ya maamuzi, lakini ninajifunza uwezekano wa kuchukuwa hatua kama hiyo, kufunga mpaka wa Venezuela na Colombia," amesema Maduro.

Colombia na Brazil wamejiunga na upinzani wa mrengo wa kulia nchini Venezuela kwa msimamo wao mmoja wa kumtimuwa rais Maduro na chama ccha Kisoshalisti cha PSUV.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana