Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Amerika

Mhamiaji wa pili kutoka Guatemala afariki dunia Marekani

media Mvulana mwenye umri wa miaka nane, raia wa Guatemala amefariki dunia nchini Marekani. Anakuwa mtoto wa pili kutoka familia za wahamiaji anayefariki dunia akiwa mikono mwa mamlaka. AFP Photos/Getty Images North America/Joe Raedle

Mhamiaji mwenye umri wa miaka nane kutoka Guatemala amepoteza maisha akiwa chini ya uhifadhi wa serikali ya Marekani na kuwa mtoto wa pili kupoteza maisha katika kizuizini cha Marekani katika mpaka wake na Mexico mwezi huu.

Mvulana, ambaye alikuwa pamoja na baba yake aliyefungwa, alikuwa amehamishiwa kituo kipya cha matibabu cha Mexico baada ya kuonesha ishara za ugonjwa siku ya Jumatatu, Mamlaka ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka (CBP) iliyokuwa inamshikilia mtoto huyo imesema.

Wafanyakazi walimkuta na mafua lakini baadaye waligundua ana homa. Na aliachiwa majira ya mchana, na kuelekezwa kutumia dawa za ibuprofen na amoxicillin .

Hata hivyo baadaye mtoto huyo alirejeshwa tena hospitalini baada ya kuonyesha ishara ya kichefuchefu na kutapika, na akafariki dunia usiku wa manane.

Guatemala imetoa wito kwa mamlaka ya Marekani kufanya uchunguzi wa "wazi" kuhusu kifo hicho na kuongeza kuwa "ripoti za matibabu zimeombwa ili kufafanua sababu ya kifo cha mtoto huyo."

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana