Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Amerika

Nicaragua yaadhimisha miaka 39 ya mapinduzi

media Afisa wa polisi, wakati wa maakabiliano na wafausi wa upinzani, huko Masaya, Nicaragua, tarehe 13 Julai 2018. REUTERS/Oswaldo Rivas

Raia wa Nicaragua wanaadhimisha kumbukumbu ya mapinduzi nchini humo yaliyotokea mwaka 1979, licha ya machafuko ya kisiasa nchini humo.

Mapinduzi hayo yalimwondoa madarakani Anastasio Somoza Debayle, aliyekuwa ameongoza nchi hiyo kwa muda mrefu.

Wanasiasa wa upinzani wanasema uongozi wa sasa wa rais Daniel Ortega, wanayemtaka ajiuzulu amekuwa dikteta.

Watu zaidi ya 300 wamepoteza maisha katika makabiliano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana