Pata taarifa kuu
MAREKANI-KOREA KASKAZINI

Virusi vya WannaCry: Marekani yaituhumu Korea Kaskazini kwa uharamia wa mtandao

Nchi ya Marekani imeituhumu rasmi Korea Kaskazini kwa kuhusika katika uvamizi wa kimtandao wa virusi vya WannaCry vilivyoathiri zaidi ya Kompyuta laki 3 kwenye mataifa 150 duniani.

Một mẫu tống tiền của mã độc WannaCry do công ty an ninh mạng Symantec, California, cung cấp ngày 15/05/2017.
Một mẫu tống tiền của mã độc WannaCry do công ty an ninh mạng Symantec, California, cung cấp ngày 15/05/2017. Reuters
Matangazo ya kibiashara

North Korea was widely suspected of being behind the computer virus and ransomware, which demanded payment to restore access. It has been denounced as such by Britain, but the United States had yet to follow suit.

Homeland Security Advisor Tom Bossert made the announcement in a Wall Street Journal op-ed, and was expected to provide more details in a briefing with reporters early Tuesday.

"The attack was widespread and cost billions, and North Korea is directly responsible," he wrote.

Marekani inasema tuhuma zake haijazichukulia kirahisi na kwamba wamezingatia ushahidi walioupata baada ya kufanya uchunguzi.

Miongoni mwa Kompyuta zilizoathiriwa na virusi hivi ni pamoja na zile za Hospitali za Uingereza, shirika la simu ya Uhispania Telefonicia na kampuni ya usafirishaji ya Kimarekani FedEx.

"Korea Kaskazini imefanya jaribio hilo kwa makusudi na kwa vile haikuwahi kuangaliwa kwa karne na tabia hii haiwezi kuvumiliwa na Marekani", ilisema taarifa ya Marekani.

Mshauri wa masuaa ya usalama wa taifa wa Marekani Tom Bossert amesema nchi yao itaongoza juhudi za pamoja na mataifa mengine ili kudhibiti mashambulizi kama haya ya kimtandao kwa kudhihiti usalama wa kwenye tovuti za Serikali.

Kauli ya Marekani inakuja wakati huu ambapo rais Donald Trump ameendelea kuongeza shinikizo kwa Serikali ya Korea Kaskazini kutokana na mpango waje wa Nyuklia.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.