Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 12/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 11/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 11/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Macron aahirisha mkutano wa kilele wa Pau kuhusu Sahel hadi mwanzoni mwa mwaka 2020 kwa sababu ya shambulio nchini Niger (Elysee)
Amerika

Mtuhumiwa mmoja wa mauaji ya Quebec akamatwa

media Maafisa wa polisi wakitembea karibu na Msikiti ambapo kulizuka ufyatulianaji risasi katika mji wa Quebec, mkoa unaozungumza Kifaransa magharibi mwa Canada, tarehe 29 Januari. REUTERS/Mathieu Belanger

Polisi ya jimbo la Quebec nchini Canada inasem akuwa inamchukulia mmoja wa watu wawili waliokamatwa kama mtuhumiwa wamauaji ya watu sita waliouawa kwa kupigwa risasi katika Msikiti mjini Quebec.

Jumapili usiku watu sita waliokuwa wamejihami kwa silaha walivamia msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada, na kusababisha vifo vya watu sita na wengine wanane kujeruhiwa.

Waziri Mkuu Justin Trudeau ameshtumu shambulizi hili na kuliita kuwa la kigaidi.

Polisi inasema tayari imewakamata watu wawili wanaohusishwa na shambulizi hilo. Mji wa Quebec ni makaazi ya watu wengi wanaozungumza lugha ya Kifaransa.

Rais wa Ufaransa Francois Hollande, naye amelaani shambulizi hili na kusema magaidi hao walijaribu hali ya amani ya mji huo.

Aidha, amesema kuwa serikali yake na Canada zitaendelea kushirikiana ili kushinda ugaidi.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana