Habari RFI-Ki
Wagombea urais wa Marekani wachuana ana kwa ana katika mdahalo wa kwanza
Imechapishwa:
Cheza - 10:26
Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu mdahalo wa kwanza wa wagombea urasi nchini Marekani Donald Trump wa chama cha Republican na Hillary Clinton wa chama cha Democrats, karibu.