Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afya - Mazingira

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 lapiga kaskazini mwa New Zealand

media Barabara imefungwa baada ya kutokana na maporomoko ya udongo, baada ya tetemeko kubwa la ardhililopiga lilipiga New Zealand Novemba 14, 2016. Sgt Sam Shepherd/Courtesy of Royal New Zealand Defence Force

Tetemeko la ardhi lenye la ukubwa wa 6.2 katika vipimo vya Richter limepiga leo Jumanne asubuhi kaskazini mwa kisiwa cha New Zealand, shirika la Marekani linalohusika na masuala ya majanga asili (USGS) limebaini.

Kitovu cha tetemeko hilo kimegunduliwa kwenye urefu wa kina wa kilomita 228, karibu kilomita 63 mashariki mwa mji wa New Plymouth upande wa magharibi wa kisiwa.

Hakuna hasara yoyote iliyotokea wala dalili zozote za Tsunami kwa mujibu wa USGS.

Kisiwa cha New Zealand kimekuwa kikikabiliwa na majanga ya asili, na hali hiyo imekuwa ikisababisha uharibifu mkubwa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana