Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/09 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/09 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/09 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afya - Mazingira

WHO: Ebola imeua watu 122 mashariki mwa DRC

media Kituo kinachotua huduma kwa wagonjwa wa Ebola (CTE) Mangina, Kivu Kaskazini, DRC. Florence Morice/RFI

Idadi ya watu waliopoteza maisha Mashariki mwa DRC kutokana na ugonjwa wa Ebola imeongezeka na kufikia 122, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya tarehe 9 Oktoba 2018.

Watoto watatu ni miongoni mwa watu waliyopoteza maisha hivi karibuni, kwa mujibu wa maafisa wa Wizara ya afya.

Inaripotiwa kuwa, watu wengine sita walioppoteza maisha ni wakaazini wa Beni, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Uganda.

Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema imewapa chanjo watu 15,000 katika jimbo la Kivu Kaskazini ili kuepusha maambukizi zaidi.

Wakaazi wa Jimbo la Kivu Kaskazini wametakiwa kuendelea kushirikiana na maafisa wa afya kwa kuwafikisha katika vituo vya afya wale wote wanaoshukwia kuwa na dalili za Ebola.

Mbali na hayo, maafisa wa usalama nchini humo wameanza kuwasindikiza wagonjwa baada ya kuongezeka kwa visa vya utovu wa usalama Wilayani Beni.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana