Pata taarifa kuu
Siha Njema

Jema Baruani,Mtanzania anayeshuhudia kupona saratani ya mitoki

Imechapishwa:

Makala ya siha njema inaangazia saratani ya mitoki baada ya kutembelewa na shuhuda aliyeugua na kutibiwa ugonjwa huo nchini Tanzania Jema Baruani ambaye anatoa hamasa kwa jamii kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua hali ya afya kabla ya kushambuliwa na magonjwa.Karibu

Bi Jema Baruani na Martha Saranga ndani ya studio za rfikiswahili Dar es salaam
Bi Jema Baruani na Martha Saranga ndani ya studio za rfikiswahili Dar es salaam rfikiswahili/Martha
Vipindi vingine
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
  • 10:14
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.