Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/10 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/10 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Ugonjwa wa kipindupindu watishia afya za wakazi Mashariki mwa DRCongo

Ugonjwa wa kipindupindu watishia afya za wakazi Mashariki mwa DRCongo
 
Shirika la afya la kimataifa WHO limeshtushwa na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kipindupindu 网络照片

Makala ya Siha njema inaangazia ugonjwa wa kipindupindu uliopiga nchini DRC hivi karibuni na kuathiri idadi kubwa ya wakazi.Waziri wa afya jimboni kivu kaskazini na daktari mtafiti wanaangazia namna jami hiyo inavyokabiliana na maradhi hayo.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRCONGO

  Shirika la afya WHO latahadharisha juu ya mlipuko wa kipindupindu DRC

  Soma zaidi

 • KENYA-AFYA

  Kipindupindu chazuka jijini Nairobi, 30 walazwa

  Soma zaidi

 • TANZANIA-AFYA

  Zanzibar yakabiliwa na kipindupindu

  Soma zaidi

 • UN-HAITI-AFYA

  UN yakubali kuwa ni chanzo cha mlipuko wa Kipindupindu Haiti

  Soma zaidi

 • Ugonjwa wa saratani ya matiti unatibika

  Ugonjwa wa saratani ya matiti unatibika

  Katika makala ya Siha njema,wakati dunia inapohimiza uelewa kwa jamii kuhusu ugonjwa wa saratani mnamo mwezi oktoba.Jamii inapaswa kufahamu kuwa ugonjwa huu unatibika..

 • Afya ya akili mahali pa kazi

  Afya ya akili mahali pa kazi

  Umoja wa mataifa unaadhimisha siku ya afya ya akili chini ya kauli mbiu afya ya akili mahali pa kazi.Nini wajibu wa muajiri na muajiriwa kuhakikisha tatizo la afya ya …

 • Lishe duni yachangia ongezeko la vifo katika jamii

  Lishe duni yachangia ongezeko la vifo katika jamii

  Makala ya siha njema inaangazia kuhusu lishe bora na umuhimu wake katika jamii,hivi karibuni ripoti ya shirika la afya la kimataifa imebainisha kuwa mtu mmoja hufariki …

 • Fahamu Juu ya Chazo,Dalili na Tiba ya Mambukizi Katika Njia ya Mkojo (U.T.I)

  Fahamu Juu ya Chazo,Dalili na Tiba ya Mambukizi Katika Njia ya Mkojo (U.T.I)

  Neno U.T.I ambalo ni ni kifupisho cha Urinary Tract infections,ambayo kwa lugha yetu ni maambukizi ya njia ya mkojo si geni katika masikioni mwa wengi, Ni tatizo kubwa …

 • Fahamu Juu ya Chanzo na Tiba ya Tatizo la Moyo

  Fahamu Juu ya Chanzo na Tiba ya Tatizo la Moyo

  Kwa Mujibu wa Ripoti mpya za shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema kuwa ugonjwa wa shinikizo la damu ndio ugonjwa ambao unaathiri watu wengi zaidi barani Afrika huku …

 • Fahamu Juu ya tatizo la Moyo Kwa Watoto

  Fahamu Juu ya tatizo la Moyo Kwa Watoto

  Takwimu mbali mbali zikiwemo za WHO zinaonesha kuwa watoto wengi hufariki kabla ya mwaka mmoja kwa ugonjwa wa moyo bila kugundulika na kupatiwa matibabu ya haraka. Na …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana