Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Serikali ya Tanzania yatangaza vita dhidi ya walanguzi wa Dawa za kulevya

Imechapishwa:

Msikilizaji wa Habari Rafiki, janga la dawa za kulevya kwenye pwani ya Afrika Mashariki limeendelea kuwa kubwa, huku biashara ikishamiri kwenye baadhi ya nchi na watumiaji ambao wengi ni vijana wakiendelea kuathirikaNchini Tanzania, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja baadhi ya majina ya wafanyabiashara, wasanii na polisi wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya dawa za Kulevya.Msikilizaji wa rfikiswahili wewe una mtazamo gani? Unadhani vita imepabanwa vya kutosha kudhibiti biashara hii na watumiaji? Unadhani nini kifanyike? hiki ndio tunajadili kupitia Kipindi Chako cha Habari Rafiki

Mmoja wa watumiaji wa dawa za kulevya, akionekana anajidunga sindano ya dawa hizi.
Mmoja wa watumiaji wa dawa za kulevya, akionekana anajidunga sindano ya dawa hizi. DR
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.