Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Serikali ya Tanzania yatangaza vita dhidi ya walanguzi wa Dawa za kulevya

Serikali ya Tanzania yatangaza vita dhidi ya walanguzi wa Dawa za kulevya
 
Mmoja wa watumiaji wa dawa za kulevya, akionekana anajidunga sindano ya dawa hizi. DR

Msikilizaji wa Habari Rafiki, janga la dawa za kulevya kwenye pwani ya Afrika Mashariki limeendelea kuwa kubwa, huku biashara ikishamiri kwenye baadhi ya nchi na watumiaji ambao wengi ni vijana wakiendelea kuathirika
Nchini Tanzania, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja baadhi ya majina ya wafanyabiashara, wasanii na polisi wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya dawa za Kulevya.

Msikilizaji wa rfikiswahili wewe una mtazamo gani? Unadhani vita imepabanwa vya kutosha kudhibiti biashara hii na watumiaji? Unadhani nini kifanyike? hiki ndio tunajadili kupitia Kipindi Chako cha Habari Rafiki


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KENYA-TANZANIA

  Kenya na Tanzania zatangaza vita dhidi ya walanguzi wa dawa za kulevya

  Soma zaidi

 • TANZANIA-EAC

  Tanzania: Jamii yasikitishwa wasanii kutumia dawa za kulevya

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana