Pata taarifa kuu
Siha Njema

Sehemu ya Kwanza:Fahamu Juu La Tatizo ya Saratani ya Watoto

Imechapishwa:

Ugonjwa wa Kansa au kwa jina jingine, Saratani, ni kundi la magonjwa yanayosababishwa na mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa seli na kuunda uvimbe unaovamia na kuzidhuru tishu za mwilini.Na hivi karibuni tumeshudia ongezeko kubwa la visa vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine,Kipindi chetu cha Siha Njema kwa Juma hili nitatupia jicho juu ya Ugonjwa huu hatari  

Mwenye ulemavu wa Ngozi wapo hatarini kupata Sratani
Mwenye ulemavu wa Ngozi wapo hatarini kupata Sratani AFP/STEPHANE DE SAKUTIN
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:03
  • 09:21
  • 10:07
  • 09:54
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.