Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika
DRC

Ituri: Washambuliaji 12 waangamia katika mapigano na jeshi Djugu

media Gari ya Umoja wa Mataifa ikipiga doria katika eneo laDjugu, Ituri, Machi 2018 (picha ya kumbukumbu). ALEX MCBRIDE / AFP

Washambuliaji 12 wameuawa, Jumatatu hii, Januari 20, 2020, wakati wa mapigano kati yao na vikoi vya jeshi vya DRC katika maeneo ya Jogoo na Lida katika Jimbo la Djugu (Ituri).

Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi katika Mkoa wa Ituri Jules Ngongo akinukuliwa na Radio ya Umoja wa Mataifa, Okapi, silaha sita aina ya AK-47 na PKM zimekamatwa.

Jules Ngongo amebaini kwamba makabiliano yanaendelea wakati huu katika eneo la Maze.

Vyanzo vya usalama vinaripoti kwamba Jumatatu asubuhi washambuliaji wa kundi la watu wenye silaha la CODECO la Ngudjolo wameshambulia ngome za jeshi katika vijiji vya Jogoo na Aruda, kilomita 2 kutoka eneo la AMEE.

Milio mingi ya risase imesikika pia karibu na Tchomia katika mwambao wa Ziwa Albert, kwa mujibu wa vyanzo vya vyama vya kiraia.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana