Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
Afrika

Sudan, Ethiopia, Misri, wafikia makubaliano ya matumizi ya Mto Nile

media Ethiopia na Misri zimekuwa zikizozana tangu Ethiopia ilipoanza kujenga bwawa la Grand Renaissance mwaka 2011. REUTERS/Tiksa Negeri

Jitihada zinaendelea kupigwa kati ya Ethiopia, Misri na Sudan katika mazungumzo ya matumizi ya maji ya Mto Nile. Nchi hizo tatau zimekubaliana kutumia maji ya Mto huyo Nile

Mazungumzo hayo yanayongozwa na Marekani, na pande zote zilikuwa zimekubaliana kuwa kufika jana mwafaka uwe umepatikana, lakini Mawazier wa Mambo ya nje wa mataifa hayo matatu sasa wasema kufikia tarehe 28 au 29 mwezi huu mkataba utakuwa umefikiwa.

Taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi tatu, pamoja na Marekani na Benki ya Dunia, imesema kwamba washiriki wanaojadiliana wamekubaliana kujaza bwawa la Grand Renaissance linalojengwa Ethiopia wakati wa msimu mvua kati ya miezi ya Julai na Agosti.

Hata hivyo taarifa hiyo haikusema lolote kuhusu masuala ya msingi yanayozunguka mgogoro huo ambayo ni kasi ya kujaza bwawa hilo

Ethiopia inatumia maji ya Mto Nile kujenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme, huku Misri ikilalamika kuwa, hatua hiyo itasaiabibisha wananchi wake kukosa maji kwa sababu mto huo ndio chanzo pekee cha maji.

Makubaliano ya mwisho yatatiwa saini Januari 28-29, wakati ambapo mawaziri kutoka nchi tatu watakuwa wanakutana Washington.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana