Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Maandamano ya kupinga Monusco yaitishwa mashariki mwa DRC, gavana wa kaunti ya Nairobi akamatwa, mgomo nchini Ufaransa

Maandamano ya kupinga Monusco yaitishwa mashariki mwa DRC, gavana wa kaunti ya Nairobi akamatwa, mgomo nchini Ufaransa
 
Kundi la watu likishambulia makao makuu ya Monusco mjini Beni, Novemba 25 2019. Ushindi Mwendapeke Eliezaire / AFP

Ni juma ambalo limeshuhudia kusitishwa kwa shughuli za maisha pia maandamano ya kupinga uwepo wa Monusco nchini DRC, huku waandamanaji wakiituhumu kwa kushindwa kuwalinda raia wakati huu mauaji yakiendelea wilayani Beni, nchini Kenya gavana wa jimbo la Nairobi Mike Sonko,akamatwa kwa tuhuma za ufisadi. Rais wa Uganda Yoweri Museveni ahimiza matembezi ya kupinga ufisadi nchini mwake. Ufaransa, maandamano ya kupinga mageuzi ya mfumo mpya wa mafao ya pensheni yaliendelea.

Ungana na mwandishi wetu Reuben K.Lukumbuka

 


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-USALAMA-UN-MONUSCO

  Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix atembelea Beni

  Soma zaidi

 • KENYA-NAIROBI-JENGO-SHULE

  Wanafunzi saba wa shule ya msingi wapoteza maisha baada ya kuangukiwa na darasa jijini Nairobi

  Soma zaidi

 • UGANDA-HAKI-UCHUMI

  Museveni ajitetea kuhusu sheria tata inayowatoza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii

  Soma zaidi

 • UFARANSA-MAANDAMANO-UCHUMI

  Mgomo dhidi ya Mageuzi ya hazina ya uzeeni waendelea Ufaransa

  Soma zaidi

 • MAREKANI-TRUMP-SIASA-HAKI

  Nancy Pelosi: Trump atajiuzulu kama Nixon

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana