Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC

Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC
 
Jeshi la serikali ya DRCongo (FARDC) likiwa katika operesheni maalum katika ngome ya waasi wa ADF, pembeni ya mji wa Kimbau, jimboni Kivu Kaskazini,mashariki mwa DR Congo, Feb 19, 2018. Reuters Reuters

Changu chako chako changu, juma hili imeangazia chimbuko la kundi la waasi wa kiislamu wa Uganda, Allied Democratic Forces (ADF) lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia mashariki mwa DRCongo

Waasi hao wanadaiwa kutekeleza mauaji ya mara kwa mara ya raia mashariki mwa nchi hiyo, miaka kadhaa baada ya kundi hilo kuanzisha uasi kwa lengo la kuung’oa utawala wa rais Yoweri Museveni mnamo miaka ya 1990 lakini ulifurushwa na kuingia DRC.

ADF imeendesha vita vya kikatili dhidi ya wakaazi wa Kongo Mashariki na linatajwa kuwa kundi la kigaidi na Umoja wa Mataifa.

Kupata mengi zaidi, unagana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana