Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mauaji mapya Beni mashariki mwa DRC, awamu mpya ya mazungumzo Sudan Kusini, mstakabali wa rais wa Marekani Donald Trump mashakani

Mauaji mapya Beni mashariki mwa DRC, awamu mpya ya mazungumzo Sudan Kusini, mstakabali wa rais wa Marekani Donald Trump mashakani
 
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akihojiwa na kituo cha televisheni cha Ufaransa TV5 pia gazeti la Le Monde, september 22 2019. Capture d'écran TV5 Monde

Katika makala ya juma hili tumeangazia mauaji mengine mapya huko Beni mashariki mwa DR Congo ambapo watu wengine saba waliripotiwa kuuawa mwanzoni mwa juma lililopita, vijana waliohamaki waliweka vizuizi vya barabarani, awamu mpya wa mazungumzo ya amani nchini Sudan Kusini, na katika uga wa kimataifa siasa za Marekani na mchakato wa kumng'oa madarakani rais Donald Trump, pamoja na mengine mengi.

Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-ADF-USALAMA

  DRC: Felix Tshisekedi atangaza mashambulizi ya mwisho dhidi ya ADF Beni

  Soma zaidi

 • SUDANI KUSINI-SIASA-USALAMA

  Kiir na Machar wapewa siku 100 kuokoa mchakato wa amani Sudan Kusini

  Soma zaidi

 • BURKINA FASO-UGAIDI-USALAMA

  Burkina Faso yaanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu

  Soma zaidi

 • MAREKANI-TRUMP-SIASA-HAKI

  Ushuhuda wa kwanza: Rais Trump alitaka Biden afanyiwe uchunguzi

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana